Skip to main content

Posts

Hot!

"Nilitelekezwa Baada ya Upasuaji" Asema Mwimbaji Tajiri wa Kenya Akothee

Mwimbaji na Mjasiriamali wa Kenya Akoth Esther, Anayejulikana kama Akothee, Hivi majuzi Aliwafungulia Mashabiki Wake Kuhusu Mojawapo ya Matukio Machungu Zaidi Maishani mwake. Akothee alisimulia masaibu hayo ya uchungu kupitia chapisho kwenye Instagram yake, iliyoambatana na picha yake akiwa amelala kwenye kitanda cha hospitali. “ULIWAHI KUJIULIZA NI KIPI KIBAYA KINACHOWEZA KUTOKEA? Nimekuwa katika hali mbaya zaidi maishani mwangu! Hakuna kitakachonizuia Kufikia Malengo yangu” aliandika Akothee. Katika chapisho hilo, Akothee alisema kuwa alipiga picha hiyo mwaka wa 2007 baada ya upasuaji mkubwa ambapo moja ya mirija yake ya uzazi; iliondolewa. "Kwenye kitanda hiki, nilifanyiwa upasuaji mkubwa wa kushonwa nyuzi 12 kwenye tumbo langu walipokata mrija wangu wa kushoto wa fallopian" alisema Akothee. Akothee alifichua kwamba hakuwa na utulivu wa kifedha na hakuwa na msaada wakati wa kulazwa kwake. Aliongeza kuwa alifahamu kuhusu talaka yake akiwa amelala kwenye kita

Latest posts

Socialite Aeedah Bambi Dumps Senator Anwar Loitiptip

Aliyekuwa Mpenzi wa Diamond Jokate Mwegelo Apokea Pongezi kwa Uongozi wake

Eric Omondi na Mwimbaji Willy Paul Wagombana Juu ya Wasanii wao Wapya wa Kike